Taarifa ya Ujenzi wa Daraja la Chipanga
Jina la Mradi
|
Ujenzi wa Daraja la Chipanga barabara Chigongwe – Chipanga
|
Namba ya Mradi
|
LGA/024/2015 – 2016/W/DFID–IRAT/03
|
Mwajiri
|
Mkurugezi wa Halmashauri (W) Bahi na sasa ni Mratibu wa TARURA (M)- Dodoma
|
Jina la Mkandarasi
|
Ubia kati ya kampuni ya Medes Company Limited, na Millennium Master Builders (T) Ltd, S.L.P 46218, Dar Es Salaam
|
Tarehe ya kuanza kazi
|
03/10/ 2016
|
Tarehe ya kumaliza kazi
|
03/06/ 2017
|
Tarehe ya muda wa kumaliza kazi baada kuridhiwa kwa nyogeza ya kwanza ya muda wa utekelezaji
|
20/06/2018
|
Kiwago cha kazi kilichofanyika
|
85.00%
|
Gharama ya Mkataba
|
TSh. 2,118,370,275.50 (bila VAT)
|
Kwa taarifa na picha za mradi bofya hapa
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa