Imechapishwa: November 26th, 2019
Benton Nollo, Ilindi
Wahitimu wa Mafunzo ya Awali ya Jeshi la Akiba Kata ya Ilindi wilayani Bahi wametakiwa kuwa chachu ya Maendeleo katika jamii wanayoishi.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya ...
Imechapishwa: November 26th, 2019
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (Mb) amewaagiza Maafisa Maendeleo ya Jamii nchini kusimamia uanzishwaji na uendeshwaji wa Kamati za ulinzi wa wanawake na wato...
Imechapishwa: November 20th, 2019
Benton Nollo, Bahi
Wilaya ya Bahi imekuwa wilaya ya pekee kwa Mkoa wa Dodoma kutunukiwa Tuzo ya Utoaji wa Huduma za Afya kwa kuzingatia viashiria vya Mfuko wa Afya wa Pamoja kwa mwaka 2018/2019.&nb...