Imechapishwa: January 2nd, 2020
Benton Nollo, Chifutuka
Wananchi mkoani Dodoma wametakiwa kuchukua tahadhari ili kuepuka maafa yasiyo ya lazima katika kipindi hiki cha masika ambapo kuna mvua nyingi zinanyesha na kuleta athari ya...
Imechapishwa: January 2nd, 2020
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa amesema miradi yote ya ujenzi wa miundombinu ya shule, ikamilike mapema. Amesema kama kuna watendaji walioko likizo warudi, kwa...
Imechapishwa: December 24th, 2019
Na Benton Nollo, Bahi
Wananchi wilayani Bahi wametakiwa kupanda miti na kutunza mazingira kwa faida ya sasa na vizazi vijavyo.
Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Bahi, Jeremia Mapogo w...