Imechapishwa: October 29th, 2020
Na Benton Nollo, Bahi
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi, Dkt. Fatuma Mganga leo tarehe 29 Oktoba, 2020 majira ya saa 03:30 asubuhi amemtangaza mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kenneth Ernest ...
Imechapishwa: October 27th, 2020
Na Benton Nollo, Bahi
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bahi, Dkt. Fatuma Mganga amesema maandalizi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2020 jimboni humo yamekamilika kwa asilimia 100.
Dkt. Mganga ameyasema...
Imechapishwa: October 27th, 2020
Watanzania takriban milioni 29 wanatarajia kupiga kura Jumatano tarehe 28 Oktoba, 2020 katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania.
Jumla ya Wapiga kura 29,188,348 wameandikishwa kwenye Daftari la Kudum...