Imechapishwa: November 5th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi wa Mawas...
Imechapishwa: November 5th, 2020
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewaambia Watanzania kuwa Uchaguzi Mkuu umekwisha na sasa kinachotakiwa ni kuchapa kazi ili kuleta maendeleo ya Tanzania na kwamba ahadi zote ambazo amezitoa kwa w...
Imechapishwa: November 5th, 2020
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa rasmi leo tarehe 05 Novemba 2020 jijini Dodoma huku akishuhudiwa na maelfu ya wananchi wa Watanzania pamoja na wageni waalikwa kutoka mataifa mba...