Imechapishwa: November 4th, 2020
Kesho tarehe 05 Novemba 2020 wakazi wa Mkoa wa Dodoma watashuhudia historia mpya ikiandikwa ambapo kwa mara ya kwanza tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961, sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya...
Imechapishwa: November 2nd, 2020
Rais mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ally Hassan Mwinyi ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Zanzibar ambaye pia atakuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wa Awamu ya Nane.
Dkt. Mwinyi amekula kiapo kati...
Imechapishwa: November 1st, 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi – NEC, imemkabidhi rasmi cheti cha ushindi Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli baada ya k...