Imechapishwa: November 12th, 2020
Spika wa Bunge la 12 la Tanzania, Job Yustino Ndugai amesema wabunge wamemthibitisha Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan...
Imechapishwa: November 10th, 2020
Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 12, umeanza kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Mhe. Job Yustino Ndugai (Mb) kuwa Spika wa Bunge hilo kwa kura 344 kati ya kura 345 zilizopigwa sawa na...
Imechapishwa: November 5th, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi wa Mawas...