Imechapishwa: April 25th, 2025
Mwenge Wa Uhuru kwa Mwaka 2025 Ulipokelewa Jana tarehe 25/04/2025 kutoka Kondoa na kuingia katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi tarafa ya Mundemu,kata ya Babayu na Kijiji cha Kongogo ambapo ulikimbizw...
Imechapishwa: April 20th, 2025
Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule apokea Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025 kutoka mkoani Morogoro, Mwenge Wa Uhuru unatarajiwa kukimbizwa katika Wilaya Saba (7) za Mkoa wa Dodoma ambapo mirad...
Imechapishwa: April 7th, 2025
Wananchi Wilayani Bahi wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi Zaina Mfaume Mlawa waadhimisha vyema kumbukizi ya Hayati Abeid Amani Karume sambamba na siku ya Afya Dunia...