Imechapishwa: March 19th, 2024
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe.Godwin Gondwe ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya Singida amemkabidhi ofisi Mhe.Gift Msuya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Chamwino,makabidhiano hayo yamefanyika leo ikiwa ...
Imechapishwa: February 26th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe.Godwin Gondwe amefanya mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mwitikira katika wilaya ya bahi na kusikiliza kero za wananchi mbalimbali. Mkutano huo wa hadhara uliofanyika kat...
Imechapishwa: February 20th, 2024
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amezindua zoezi la upandaji miti miche 200 katika chuo cha VETA kilichopo Wilaya ya Bahi kata ya Bahi,pia amesistiza utunzwaji wa miche hiyo ili iweze kuw...