• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
BAHI DISTRICT COUNCIL
BAHI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kazi na Moto
      • Afya
      • Maji
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Teknolojia na Mawasiliano Serikalini
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mpiango
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokubaliwa
    • Miradi Inayoendelea
      • TASAF
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Kazi
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbali Mbali
    • Miongozo Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video Mbali Mbali
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wananchi Bahi Wahimizwa Kupanda Miti

Imechapishwa: January 20th, 2021

Na Benton Nollo na Bernard Magawa (DMC) – Bahi

Wananchi wilayani Bahi mkoani Dodoma wamehimizwa kupanda miti ya kutosha katika maeneo yao ili kuwa na mazingira mazuri yatakayowawezesha kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mwanahamisi Munkunda alipokuwa akizindua zoezi la upandaji miti wilayani humo lililofanyika tarehe 20 Januari 2021 katika Shule Shikizi ya Lionii iliyopo kijiji cha Bahi Sokoni Kata ya Bahi, tukio ambalo lilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wilayani humo pamoja na wanafunzi.

“Hakikisheni miti hii tuliyoipanda leo inatunzwa na kukua vizuri ili eneo hili liwe na mazingira bora, nanyi wanafunzi nendeni mkawe mabalozi wazuri wa kuwaelimisha wazazi wenu wapande miti ya kutosha katika maeneo mnayoishi.” Amesema Munkunda.

Awali, akitoa taarifa kuhusiana na kampeni ya upandaji miti wilayani humo, Kaimu Afisa Mazingira Wilaya ya Bahi, Herman Manawa amesema Idara ya Mazingira kupitia Kitengo cha Misitu kwa kushirikiana na Ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania - TFS wamepanda miti 10,000 katika taasisi mbalimbali ikiwemo miti ya kivuli, matunda pamoja na miti ya asili lengo likiwa ni kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

“Zoezi hili ni endelevu, tumeweka mpango mkakati kuwa kila kata ipande miti 50,000 hivyo kwa kata zetu 22 za Wilaya ya Bahi mwaka huu (2021) tutakuwa tumepanda miti 1,100,000 ambapo kimsingi zoezi hili litasimamiwa na walezi wa kata hizo ambao ni Wakuu wa Idara na Vitengo mbalimbali hapa Halmashauri.” Amesema Manawa na kuongeza;

“Pia, tunao mkakati wa kila kaya ipande miti mitano ambayo itasimamiwa na Wenyeviti wa Vitongoji kuhakikisha miti hiyo inatunzwa na kustawi vizuri.”

 Zoezi la upandaji miti Wilayani Bahi ni sehemu ya kuunga mkono kampeni za kuufanya Mkoa wa Dodoma kuwa wa kijani.


Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA MFUPI HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI August 23, 2025
  • TANGAZO LA MWITO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO TAREHE 24/10/2025 October 24, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI ATANGAZA MIKOPO AWAMU YA NNE(4) KIASI CHA TSH.301,772,500/= October 21, 2025
  • WALIOCHAGULIWA NAFASI ZA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI October 20, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI YAFANYA KIKAO CHA KUJADILI UTEKELEZAJI AFUA ZA LISHE JULAI-SEPTEMBA 2025.

    November 06, 2025
  • MAFUNZO KWA WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO VYA UCHAGUZI MKUU MWAKA 202

    October 26, 2025
  • MAFUNZO YA MAKARANI WA VITUO VYA UCHAGUZI

    October 25, 2025
  • KAMATI YA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI NGAZI YA WILAYA KWENYE UKAGUZI WA VIKUNDI VYA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU.

    October 02, 2025
  • Tazama Zote

Video

Jinsi ya kuomba uhamisho kwenye mfumo wa Utumishi
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tazama na Kudownload Orodha ya Walioitwa Kwenye Interview kwa Nafasi za Watendaji wa Vijiji Bahi
  • Matokeo Kidato cha Nne 2017
  • Tazama matokeo ya Darasa la saba 2019 ya shule zote za Bahi
  • Tazama na Kudownload vigezo vya Nafasi za Kazi kwa Watendaji wa Vijiji
  • Matokeo ya QT
  • 1: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Darasa la Nne (SFNA) 2017
  • Vendor Form
  • 2: Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa Kidato cha Pili (FTNA) 2017

Viunganishi Linganifu

  • NECTA
  • Mfumo wa uhamisho kwa watumishi,Mikopo na Kupata Salary Slips
  • BAHI YOUTUBE CHANNELE
  • Utumishi
  • OR-TAMISEMI
  • Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Watembeleaji wa Nje

world map hits counter

Watembeleaji

Counter Widgets

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitengo cha Ugavi na Manunuzi

    Anuani: S.L.P 2993 DODOMA

    Simu: +255 762077589

    Simu: +255 762077589

    Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz

Mawasiliano Zaidi

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • SILVAWIN
  • YAMITOTO
  • Slot Gacor
  • Situs Toto Slot