Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule apokea Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025 kutoka mkoani Morogoro, Mwenge Wa Uhuru unatarajiwa kukimbizwa katika Wilaya Saba (7) za Mkoa wa Dodoma ambapo miradi mbalimbali itazinduliwa na mingine kuwekewa jiwe Msingi.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa