Halmashauri ya wilaya ya Bahi kwa Mwezi Oktoba imepokea fedha kiasi cha Tsh 1,202,661,476 kutoka Serikali Kuu
Mchanganuo ni kama ifuatavyo;
NA
|
JINA LA MRADI
|
KIASI CHA FEDHA
|
CHANZO
|
1.
|
Ukamilishaji ujenzi Hospitali ya Wilaya Bahi
|
350,000,000
|
Serikali kuu
|
2.
|
Unununuzi wa Vifaa Tiba-Hospitali ya wilaya
|
300,000,000
|
Serikali kuu
|
3.
|
Ununuzi Vifaa Tiba Zahanati
|
100,000,000
|
Serikali kuu
|
4.
|
Ukamilishaji ujenzi wa bweni shule ya sekondari Mwitikira
|
20,000,000
|
Serikali kuu
|
5.
|
Ukamilishaji ujenzi wa uzio nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji
|
50,000,000
|
Serikali kuu
|
6.
|
Ufuatiliaji na Tathimini ya miradi ya Maendeleo
|
100,000,000
|
Serikali kuu
|
7.
|
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
|
282,661,476
|
Serikali kuu
|
JUMLA KUU
|
1,202,661,476
|
|
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa