Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa ina jukumu la kuishauri Kamati Elekezi ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa kuhusu hali ya maafa Wilayani na kuhakikisha inaandaa mipango ya maendeleo inayozingatia hatari za maafa.
Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa ina wajumbe wafuatao;
Mkuu wa Idara ya Mipango wa Halmashauri ndiye Katibu wa Kamati. Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa inaweza kumualika mtu yeyote kwenye kikao chake kama itakavyoona inafaa, kutegemea na tishio au madhara ya tukio la maafa. (mfano; TANESCO n.k)
Majukumu ya Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa.
Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa ina jukumu la; -
Kamati ya Wataalam ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa inaweza kuanzisha kamati ndogo kwa ajili ya kuhakikisha utekelezaji bora wa shughuli za usimamizi na uratibu wa maafa katika Wilaya.
Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
Anuani: S.L.P 2993 DODOMA
Simu: +255 762077589
Simu: +255 762077589
Barua Pepe: ded@bahidc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Bahi. Haki Zote Zimehifadhiwa